I’m reminded of grace

I’m reminded of grace Author  MG As the year comes to an end, it’s important to pause and reflect on how your 2016 journey has been. You sure rolled up your sleeves and got ready to dive into whatever life would bring your way. For some, it has been a kind of a roller coaster […]

Read More »

Kumbukumbu za Jadi

Kumbukumbu za Jadi Author: James Omweno Mjukuu wangu karibu, Kwa matembezi ya kina Nikupeleke hadi Kitambo, zama zile zilizopendwa Kwenye limabonde katika enzi, Wazee hukumbuka Si kumbukumbu ya torati, Ni kumbukumbu za jadi   Mjukuu wangu zama hizo, chapati huliwa krismasi Vinywaji kama soda, Ungekunywa siku spesheli tu Kuna kinywaji Kimoja, kukisahau ni muhali Juisi […]

Read More »